Chunguza kina cha kina cha vitabu milioni 43 na makala milioni 98. Hii si data tu; ni hekima iliyokusanywa, udadisi, na ufahamu wa vizazi. Soma kwa uhuru, tafakari kwa kina, na jiunge nasi katika kujenga siku za usoni zenye uelewa na mwangaza zaidi, ukurasa mmoja kwa wakati mmoja.

📚 Hifadhidata kamili

Vitabu milioni 43, karatasi, magazeti, vibonzo …

🧬 Makala za Kitaaluma

Ufikiaji wa moja kwa moja kwa 98,551,629 makala za kitaaluma.
Maarufu Zaidi

Tuki kamusi ya kiswahili-kiingereza. Swahili-English dictionary

Mulokozi M.m.

Publisher: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Publication date: 2001 Number of pages: 349 Kamusi hii ya Kiswahili-Kiingereza ina historia ndefu. Wazo la kutunga kamusi hii ilianzishwa mwaka 1964 na Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili (ambacho kuanzia mwaka 1972 kilijulikana kama Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili). Wazo hili lilibuniwa wakati wa enzi ya Profesa Wilfred H.Whitely, ambaye wakati huo alikuwa ndiye Mkurugenzi wa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili, ikiwa ni miaka 25 baada ya kuchapishwa kwa kamusi ya Johnson ijulikanayo kama Standard Swahili-English Dictionary (1939). Kazi ya utunzi wa kamusi mpya ilianza baada ya shirika lijulikanalo kama Calouste Gulbenkian Foundation kutoa msaada wa pesa kwa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 1964 hadi Octoba 1967 ili kukiwezesha chuo kumwajiri mchunguzi atakayeweza kuifanya kazi hiyo.

pdf · Kiswahili · 3.5 MB
Soma Pakua

Maelezo Ya Methali Za Kiswahili (llt) (swahili Edition)

Karama S., Saidi M.

Longman Kenya LTD, 1998. - 92 с. Пословицы суахилийского языка с объяснением значений.

pdf · Kiswahili · 1983 · 23.9 MB
Soma Pakua

Church Growth Principles

Dag Heward-Mills [Heward-Mills, Dag]

Dell' Antiche Colonie V2: Venute In Napoli Ed I Secondi Furono Gli Euboici (1773) (italian Edition)

epub · Kiswahili · 2009 · 0.1 MB
Soma Pakua

Ndoto Ya Amerika

Ken Walibora

lgrsnf/ndoto_ya_amerika.pdf

pdf · Kiswahili · 2001 · 4.0 MB
Soma Pakua

Chozi la Heri

Assumpta K. Matei

A novel.

pdf · Kiswahili · 2015 · 6.4 MB
Soma Pakua

Colloquial Swahili: The Complete Course for Beginners (Second edition) [Audio]

Donovan Mcgrath, Lutz Marten

For a full list of titles in the Colloquial series, please visit https://www.routledge.com/Colloquial-Series/book-series/SE0069 Colloquial Swahili: The Complete Course for Beginners has been carefully developed by an experienced teacher to provide a step-by-step course to Swahili as it is written and spoken today. Combining a clear, practical and accessible style with a methodical and thorough treatment of the language, it equips learners with the essential skills needed to communicate confidently and effectively in Swahili in a broad range of situations. No prior knowledge of the language is required. Colloquial Swahili is exceptional; each unit presents a wealth of grammatical points that are reinforced with a wide range of exercises for regular practice. A full answer key, a grammar summary, bilingual glossaries and English translations of dialogues can be found at the back as well as useful vocabulary lists throughout. Key features include: • A clear, user-friendly format designed to help learners progressively build up their speaking, listening, reading and writing skills • Jargon-free, succinct and clearly structured explanations of grammar • An extensive range of focused and dynamic supportive exercises • Realistic and entertaining dialogues covering a broad variety of narrative situations • Helpful cultural points explaining the customs and features of life in Swahili-speaking countries. • An overview of the sounds of Swahili Balanced, comprehensive and rewarding,...

zip · Kiswahili · 2012 · 81.5 MB
Soma Pakua

Visa vya kalio

Chibudu S.n.

Heineman Kenya LTD, 1990. - 35 с. Книга для чтения на суахилийском языке для детей школьного возраста с рассказами с рисунками.

pdf · Kiswahili · 13.4 MB
Soma Pakua

Historia kuu ya Afrika, juzuu lililofupishwa, v. III: Afrika kuanzia karne ya saba hadi ya kumi na moja; III

Hrbek, Ivan; International Scientific Committee For The Drafting Of A General History Of Africa

Kipindi kinachojadiliwa katika Juzuu la III kimezingatia uhamiaji wa aina mbili ambao ulikuwa na umuhimu mkubwa na wa kudumu kwenye historia ya Afrika. Athari ya Uislamu ilikuwa inaongezeka upande wa kaskazini na magharibi; ilikuwa ikiingiliana na utamaduni asilia wa Kiafrika. Upande wa kusini kulikuwa na upanukaji wa WaBantu. Kitabu hiki kwanza kinaweka Afrika katika muktadha wa historia ya dunia mwanzoni mwa karne ya saba, kabla ya kuchambua athari za upenyaji wa Kiislamu, kuendelea kwa upanukaji wa watu wanaozungumza Kibantu, na ukuaji wa ustaarabu kwenye kanda za Kisudani za Afrika Magharibi. Sura zinazojadili kwa undani zinafuata zikizungumzia nasaba mfululizo za Kiislamu za Afrika Magharibi na mawasiliano mapana ya nasaba hizo na sehemu zingine, Unubi ya Wakristo, staarabu za savana, maeneo ya misitu na Pwani ya Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika, Pwani ya Afrika Mashariki na bara, Afrika ya Kati, Kusini mwa Afrika, na maendeleo ya ndani ya Madagaska pamoja na mawasilino ya Kimataifa. Sura tatu za hitimisho zinafuatilia utawanyikaji wa Waafrika huko Asia, zinachunguza uhusiano wa kimataifa na usambaaji wa teknolojia na mawazo ndani ya Afrika, na kupima athari ya jumla ya kipindi hicho kwa historia ya Afrika.

pdf · Kiswahili · 1999 · 17.5 MB
Soma Pakua

Mkabala wa Lenin Kuhusu Suala la Mataifa

S. Gililov; Hussein Abdul-Razak

Перевод на суахили. Гилилов С.C. Ленинская программа решения национального вопроса. Серия "Библиотека политических знаний". О разработке ленинского теоретического наследия по вопросам строительства советского многонационального государства, определению основных принципов формирования и развития национально-государственной структуры СССР. “Mfululizo wa ‘Vitabu vya Maarifa ya Kisiasa’ ambao umeanza kutengenezwa kwa ajili ya wasomaji wetu, ni sehemu ya mwanzo ya mkusanyiko maalum wa maandishi yaelezeayo masuala ya maendeleo ya kijamii katika zama zetu. Vitabu vilivyomo ndani ya mfululizo huo vinatoa maelezo rahisi ya masuala yahusikayo na mwundiko wa jamii, mwenendo wa kubadilika kwa mifumo ya kijamii ya aina tofauti, halikadhalika tabia muhimu za mapinduzi ya kisayansi na ya kiufundi katika ulimwengu wa leo.”

pdf · Kiswahili · 1985 · 10.4 MB
Soma Pakua

Huduma Za Afya Na Utunzaji Wa Watoto (swahili Edition)

V. P. Kimati

Huduma za Afya na Utunzaji wa Watoto ni kitabu kinachotoa maelezo muhimu juu ya ulinzi wa afya za watoto na akina mama. Kitabu hiki kimetungwa kwa madhumuni ya kuwasaidia wazazi ili wajisaidie wenyewe na wawasaidie watoto wao katika mambo yahusuyo magonjwa ya watoto wadogo. Matatizo mengi ya kiafya na magonjwa ya watoto wadogo yanaweza kutatuliwa mapema na vizuri zaidi nyumbani. Ili watoto wadogo wapate afya njema na hivyo kupunguza vifo vitokanavyo na maradhi, inabidi wazazi waelimishwe katika utunzaji wa afya za watoto wao. Inatumainiwa kuwa baada ya kusoma kitabu hiki, wazazi wataweza kutoa huduma za kwanza kwa watoto wao kabla ya kuwapeleka kwa waganga. Vilevile, inatarajiwa kuwa baada ya kusoma kitabu hiki vijana wote wataweza kusaidia sana wazazi wao katika kutoa huduma za kwanza za dharura kwa wadogo zao wanapougua ghafla huko majumbani. Aidha kitabu hiki kitawasaidia sana wafanyakazi wa tiba hasa wakunga, wauguzi wasaidizi, wauguzi wa vijijini n.k. katika kutoa huduma bora zaidi.

pdf · Kiswahili · 1982 · 7.8 MB
Soma Pakua